Ngedere na Ndizi

Baby Monkeys Bananas

 

Imefasiriwa na Harold Mhando

Picha Zimechorwa na Graeme Viljoen

 

(Cambridge African language Library

 Vitabu Vilivyochaposhwa kwa Kiswahili)



사용자 삽입 이미지

Ngedere Mdogo alipenda sana ndizi mbivu.

Kila mara kaka na dada walipopata ndizi, Negedero Mdogo alijaribu kuwapokonya na kuzibugia zote.

Mwanagu, acha ulafi! Mama Ngedere alimkaripa.

 

사용자 삽입 이미지
Ngedere Mdogo hakupenda kukaripiwa na mama.

Nitatoroka nyumbani, alijisemea kimoyomoyo.

Basi aliruka kutoka mti hadi mti, mgomba hadi mgoba.

Akajikuta kati ya chaka la migomba.

 

Ghafla Ngedere Mdogo aliona mgomba mkubwa sana.

Juu yake kulikuwa na mkungu mkubwa wa ndizi.

 

(중략)

 

사용자 삽입 이미지

Mara akatokea tembo.
Tembo utanisaidia?

Nimepata mkungu wa ndizi mkubuwa sana.

Nataka kuupeleka nyumbani, aliomba kwa shauku.

Mmm Tmbo alisema. Huo mkungu una ndizi nzuri sana.

Bila shaka nitakusaidia kama tutagawana sawa kwa sawa.

 

(하략)

사용자 삽입 이미지

 

+ Recent posts